D dmatemu JF-Expert Member Joined Mar 14, 2008 Posts 956 Reaction score 551 May 3, 2019 #1 Hivi unadhani bajeti ya kumzika Mengi ni shi’ngapi???
princemikazo JF-Expert Member Joined Jan 10, 2019 Posts 2,195 Reaction score 2,056 May 4, 2019 #2 Mimi hoi
SK2016 JF-Expert Member Joined Apr 6, 2017 Posts 8,016 Reaction score 13,780 May 4, 2019 #3 Labda Dr.Shika aje ajibu hili swali lako.
Darmian JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 17,289 Reaction score 46,624 May 4, 2019 #4 Muulize Steve Nyerere
Kete Ngumu JF-Expert Member Joined Nov 21, 2014 Posts 6,656 Reaction score 6,886 May 4, 2019 #5 Haitazidi duka kubwa la jumla kariakoo, nyumba ya kisasa maeneo ya wazito, usafiri mzito, watoto watatu shule nzuri na akiba bank ya milion 50.
Haitazidi duka kubwa la jumla kariakoo, nyumba ya kisasa maeneo ya wazito, usafiri mzito, watoto watatu shule nzuri na akiba bank ya milion 50.
Bulaya001 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2018 Posts 5,987 Reaction score 6,682 May 4, 2019 #6 Aiseee, sasa ukiambiwa itakusaidia nn?
Bulaya001 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2018 Posts 5,987 Reaction score 6,682 May 4, 2019 #7 sawa Kete Ngumu said: Haitazidi duka kubwa la jumla kariakoo, nyumba ya kisasa maeneo ya wazito, usafiri mzito, watoto watatu shule nzuri na akiba bank ya milion 50. Click to expand...
sawa Kete Ngumu said: Haitazidi duka kubwa la jumla kariakoo, nyumba ya kisasa maeneo ya wazito, usafiri mzito, watoto watatu shule nzuri na akiba bank ya milion 50. Click to expand...
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 25,190 Reaction score 27,434 May 4, 2019 #8 Hakuhusu wa hautuhusu na sisi pia nyie ndio mnaovamia msafara wa marehemu mbona ya ruge au kibonde hukuuliza. dmatemu said: Hivi unadhani bajeti ya kumzika Mengi ni shi’ngapi??? Click to expand...
Hakuhusu wa hautuhusu na sisi pia nyie ndio mnaovamia msafara wa marehemu mbona ya ruge au kibonde hukuuliza. dmatemu said: Hivi unadhani bajeti ya kumzika Mengi ni shi’ngapi??? Click to expand...
Fragaria JF-Expert Member Joined Jan 10, 2019 Posts 7,188 Reaction score 40,444 May 4, 2019 #9 Kwani wewe unataka kuchangia sh ngapi?
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 54,943 May 4, 2019 #10 Bajeti yake ni ipo kwenye bajeti kuu ya mwaka wa fedha 2019/20. Tafuta bajeti ya mwaka huu usome kuanzia kipengele cha 6 kwenye sura ya 208.
Bajeti yake ni ipo kwenye bajeti kuu ya mwaka wa fedha 2019/20. Tafuta bajeti ya mwaka huu usome kuanzia kipengele cha 6 kwenye sura ya 208.