Nina Swali.....???!

Nina Swali.....???!

dmatemu

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2008
Posts
956
Reaction score
551
Hivi unadhani bajeti ya kumzika Mengi ni shi’ngapi???
 
Haitazidi duka kubwa la jumla kariakoo, nyumba ya kisasa maeneo ya wazito, usafiri mzito, watoto watatu shule nzuri na akiba bank ya milion 50.
 
Bajeti yake ni ipo kwenye bajeti kuu ya mwaka wa fedha 2019/20. Tafuta bajeti ya mwaka huu usome kuanzia kipengele cha 6 kwenye sura ya 208.
 
Back
Top Bottom