Nina tabia ya kupenda kucheka sana. Je, ni tatizo?

Nina tabia ya kupenda kucheka sana. Je, ni tatizo?

Wakuu mimi nina tabia ya kupenda kucheka sana yaani napenda kutaniana na watu yaani nitacheka sana.

Ila ni kwa watu tuliozeana tu ila kwa mtu ambaye sina mazoea nae ni ngumu kuelewa kama mimi ni mcheshi au muongeaji kiasi kwamba hadi mtu akinikuta ambaye hajanizoea huishia kusema "kumbe anaongeaga hivi? Kumbe anachekaga huyu"..

Ila kwa watu tuliozoeana basi tutataniana nitacheka sana yaani nitacheka sana hadi sazingine nitacheka hadi nitakaa chini kama ni jambo la kuchekesha sana.

Jee hili ni tatizo?Jee haina tafsiri au mtazamo mbaya?Nataka nijuwe ili niache maramoja kama sio jambo zuri.
Nyege hizo kama hauna bwana au demu jaribu kupiga punyeto

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Bwana wee cheka zako kwa raha zako. Maisha ni sasa na unatakiwa uyafurahie kila inapobidi usipocheka sasa ukiwa mzima utachekea wodini? Chekaaa
 
Back
Top Bottom