Hivi maharage pia wananunua nilidhani huwa wananunua soya tuTafuta kiwanda wanachotengeneza chakula cha kuku wauzie
Mmmmhh sina soko ndugu m nimekupa ushauri tuBei ipoje sokoni kwako
Mkuu tafuta connection ya madalali na bila hao watu huwezi kuuzaBei ipoje sokoni kwako
Ilikuwaje ukalima kiasi chote hicho bila kuwa na ABC za soko hadi kufikia kuulizia bei JF?Bei ya jumla.
Kuhusu location usiwaze ninaweza kukusafirishia ulipo.
Bei ipo vipi mjini Dar?
Bei ya jumla.
Kuhusu location usiwaze ninaweza kukusafirishia ulipo.
Bei ipo vipi mjini Da
Madalali ni watu wasiopenda kufanya kazi wao wanapenda kitonga tuSihitaji dalali mkuu...huwa nauza bila dalali kila mwaka. Nadhani JF kuna wahitaji kama hawatapatikana ni sawa wasipopatikana sipo desperate saana.
Tafuta kiwanda wanachotengeneza chakula cha kuku wauzie
Bora angesema hata nguruwe ila lazima yapikwe ndo anapewa kuku uwa awali maharageHuko kwenu kuku wanakula maharagwe?