kilamuruzi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,232
- 1,075
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee ndo UnaetakiwaPole sana mkuu. Mungu mkubwa utapona.
Mimi nilikuwa na tatizo linalifanana na hilo lako. Nikaelekezwa kwa mpemba mmoja yuko maeneo ya chanika Kwambiki. Ni mtaalam wa mifupa kwa waliopata ajali na maumivu ya mgongo. Hasa pingiri kupinda au kuachia.
Kuna dawa anapaka na kuchua huku akirekebisha na kulainisha sehemu yenye shida.
Baada ya siku 7 ya zoezi hilo la kila siku asubuhi. Nimepata nafuu kubwa kabisa.
Ukitaka nitakupatia namba yake.