Nina Tatizo, BACK PAIN

hiyo ni dawa nzuri ya maumivu ya mgongo. Nilitoa 50$ baada kuwa ya kushindwa hata kukaa ilikuwa hadi nitafute nyenzo. Sasa kitu ambacho sikufuatilia ni kwamba jamaa aliniambia ni lazima huyo mdudu ukute amekufa kwa njia yoyote but sharti ni kwamba husimuue kwa ajili ya dawa. Jinsi ya kutumia , chukua pungiri zake weka kwenye kibati chochote weka juu ya jiko hadi ichomeke ili iwe rahisi ya kusagika kupata unga, kisha chanja chale juu ya uti wa mgongo karibu shingo pamoja na chini kiunoni pakaa. Hiyo ndio itakuwa mwisho wako wa kuumwa mgogo.
 
Wee ndo Unaetakiwa
 
Yawezekana ukawa na tatizo la disc prolapse nenda moi watakufanyia vipimo ujue tatizo liko wapi .ila kwa ukweli matatizo ya Mgongo has a disc huwa ni permanent kikubwa ni kufuata restriction utakazopewa.
 
Mama angu ameumwa mwaka na miez sita sasa,
Sema ameenda Moi wanamfanyisha mazoezi na kumuingiza kwenye mashine naona ana improve manake iligika muda hata kutembea hawezi.

Zingatieni mikao yetu sana na jitahd kula vyakula vya calcium kwa wingi,pia kula fats kwa wingi uongeze uzito ila cha zaidi nenda Hospital ya MOI utapata tiba yy alekua anaenda hospital Bugando na KCMC ila tulivyo muhamishia Moi asee ali improve sana tu ,
Zaidi usifanye kaz nzito za kuinamisha mgongo wala kutembea umbali mrefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…