Nina Tatizo, gafla tu moyo umeanza kwenda mbio sana

Nina Tatizo, gafla tu moyo umeanza kwenda mbio sana

habari za kutwa wakuu..
jamani muda kama wa nusu saa iliopita nmepatwa na hali ambayo sijaielewa.

Gafla tu moyo umeanza kwenda mbio sana
alafu nikainuka nilipo nikawa sijielewi nataka kufanya nini
yani moyo unadunda sana mpaka naogopa..
sasa najitahidi kurelax lakini bado..

wakuu nini tatizo..?
nini kifanyike
vipi Hali yako sasa unaendeleaje na ni vizuri ukawa unapima BP mara kwa mara na uepuke stress pia usipendelee readbull energy au dragon hivi vinywaji vina caffen nyingi
 
Km unaweza tumia ulale kwa amani, hii hali ikikutokea usiku lazma utoe wosia maana utaona km roho inatoka. Alaf mara nyingi husababishwa na msingo wa mawazo wa mda mrefu, unguza mawazo la sivyo hali hii itaendelea kukua na kukutokea mara kwa mara
ni kweli kaka...
jana nmejihisi kama nataka kupandisha shetani..
kama nataka kuwa chizi nikimbie
maana hali sikuielewa
bado kidogo nianze kuandika wosia[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
leo nmeamka vizuri japo mwili wangu kama mtu alietaka kufa jana
 
better but usilale na njaa
na hiyo pepsi tu tumboni
kula kunywa maji...unaweza kuwa na matatizo ya low au high
pepsi,coka.kahawa sio nzuri.....kapime magonjwa ya moyo
nikapime magonjwa ya moyo na kisukari?
kwa Dar nikapime hospital gani ndo itakua nzuri..
namshukuru Mungu nmeamka salama pia
 
vipi Hali yako sasa unaendeleaje na ni vizuri ukawa unapima BP mara kwa mara na uepuke stress pia usipendelee readbull energy au dragon hivi vinywaji vina caffen nyingi
nmeamka salama
namshukuru Mungu
jana nililala tu mpaka leo saa3
maana nmeona kama nakufa..
mazazi wangu akaniruhusu nilale zaidi nipumzishe kichwa..

niko ok kidogo sasa
japo njaa inauma ila sitamani kula
maana jana niliona nakufa.. nachanganyikiwa kama nataka kupandisha shetani
 
Back
Top Bottom