nataka kulala
haifasaidia?
vipi Hali yako sasa unaendeleaje na ni vizuri ukawa unapima BP mara kwa mara na uepuke stress pia usipendelee readbull energy au dragon hivi vinywaji vina caffen nyingihabari za kutwa wakuu..
jamani muda kama wa nusu saa iliopita nmepatwa na hali ambayo sijaielewa.
Gafla tu moyo umeanza kwenda mbio sana
alafu nikainuka nilipo nikawa sijielewi nataka kufanya nini
yani moyo unadunda sana mpaka naogopa..
sasa najitahidi kurelax lakini bado..
wakuu nini tatizo..?
nini kifanyike
ni kweli kaka...Km unaweza tumia ulale kwa amani, hii hali ikikutokea usiku lazma utoe wosia maana utaona km roho inatoka. Alaf mara nyingi husababishwa na msingo wa mawazo wa mda mrefu, unguza mawazo la sivyo hali hii itaendelea kukua na kukutokea mara kwa mara
nikapime magonjwa ya moyo na kisukari?better but usilale na njaa
na hiyo pepsi tu tumboni
kula kunywa maji...unaweza kuwa na matatizo ya low au high
pepsi,coka.kahawa sio nzuri.....kapime magonjwa ya moyo
nmeamka salamavipi Hali yako sasa unaendeleaje na ni vizuri ukawa unapima BP mara kwa mara na uepuke stress pia usipendelee readbull energy au dragon hivi vinywaji vina caffen nyingi
nikapime magonjwa ya moyo na kisukari?
kwa Dar nikapime hospital gani ndo itakua nzuri..
namshukuru Mungu nmeamka salama pia
nataka kulala
haifasaidia?
ntajitahidi muhimbiliNenda muhimbili au aga khan au Burhani
nashkuru Mungu nmeamka salamaunaweza kufia usingizini usilale.
ntajitahidi muhimbili
kwingine huko sipawezi
nashkuru pia kwa kujali
nikaseme yaliyonipata au nikapime magonjwa gani?Au anzia mnazi mmoja
foleni sio kubwa
nikaseme yaliyonipata au nikapime magonjwa gani?
sawaNi hospitali
ukapime
asante sana[emoji26][emoji25][emoji25][emoji24][emoji24]Pole sana