nina tatizo gan mimi?

korino

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
1,004
Reaction score
666
Habari zenu! Nna mimba ya miezi sita naelekea saba! Tatizo langu ni kwamba nkila chakula hata kidogo bas mim nakuwa napata shida sana! Nkiwa ofisini kukaa kitini cwez nahangaika yaan utanionea huruma! Nahs km tumbo limeftuka sana mpaka naumia af nakuwa nahema juu juu! Nahisi km tumbo limekaza haswa! Sielewi nifanye nn wallah!Napata shida sana naombeni msaada wenu! Ushaur wenu muhimu kwangu! Asanteni
 
Labda mtoto ndo anajigeuza,duu pole sn.subir wataalam waje kwa ushaur zaid!
 
Labda mtoto ndo anajigeuza,duu pole sn.subir wataalam waje kwa ushaur zaid!

Hata cjui ndugu yangu! Tangia asbh cjala naogopa kula bas saiv mwili wote umekosa nguvu nmekula glucose
 
Miezi hiyo ndio mtoto anageukia chini but it will depend na position alichukua pia inawezekana ukawa na maji mengi au Pacha...
 
Usione shida hata mama yako ulimfanya hivyo hivyo ulivyokua tumboni na hakuona shida!..wazazi wa siku hizi kwenu mimba mnaita shida dah!..
 
Usione shida hata mama yako ulimfanya hivyo hivyo ulivyokua tumboni na hakuona shida!..wazazi wa siku hizi kwenu mimba mnaita shida dah!..

Sio hivyo ndugu yangu! Naapatwa na waswas coz haijawah nitokea so pengine ikawa ni tatizo ndomana naomba ushauri
 
Miezi hiyo ndio mtoto anageukia chini but it will depend na position alichukua pia inawezekana ukawa na maji mengi au Pacha...

Hapana sina pacha nilifanya ultrasound 1st trimester
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…