korino
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 1,004
- 666
Habari zenu! Nna mimba ya miezi sita naelekea saba! Tatizo langu ni kwamba nkila chakula hata kidogo bas mim nakuwa napata shida sana! Nkiwa ofisini kukaa kitini cwez nahangaika yaan utanionea huruma! Nahs km tumbo limeftuka sana mpaka naumia af nakuwa nahema juu juu! Nahisi km tumbo limekaza haswa! Sielewi nifanye nn wallah!Napata shida sana naombeni msaada wenu! Ushaur wenu muhimu kwangu! Asanteni