Godfreymwasubila
Senior Member
- Apr 13, 2013
- 108
- 8
Mi Ni kjana miaka 25.kila mara baada ya mwezi,niendapo haja ndogo huwa nahc kama nina kichocho kwani mkojo huuma sana na najisikia vibaya mara tu baada ya kumalza kukojoa,nmekwenda maabara kupima magonjwa ya zinaa,naonekana sina ugonjwa wowote wa zinaa.Naomba mnisaidie hivi inawezekana mtu kusumbuliwa na kichocho katika umri huo?na kama ndio nifanye nini ili niondokane na tatizo hilo?
mkuu sidhani kama umepima sawa sawa kwani hizo ni dalili kubwa kabisa za magonjwa ya zinaa. pengine ulikuwa unajichua ukajisababishia misuli kutanuka eeeeee??