Nina Tatizo Gani?

Nina Tatizo Gani?

Godfreymwasubila

Senior Member
Joined
Apr 13, 2013
Posts
108
Reaction score
8
Mi Ni kjana miaka 25, kila mara baada ya mwezi, niendapo haja ndogo huwa nahc kama nina kichocho kwani mkojo huuma sana na najisikia vibaya mara tu baada ya kumalza kukojoa, nmekwenda maabara kupima magonjwa ya zinaa, naonekana sina ugonjwa wowote wa zinaa.

Naomba mnisaidie hivi inawezekana mtu kusumbuliwa na kichocho katika umri huo? na kama ndio nifanye nini ili niondokane na tatizo hilo?
 
mkuu sidhani kama umepima sawa sawa kwani hizo ni dalili kubwa kabisa za magonjwa ya zinaa. pengine ulikuwa unajichua ukajisababishia misuli kutanuka eeeeee??
 
Hivi wewe una miaka 27 au 25?
Ni wiki kama moja imepita ulikuja na thread yako kule Love Connect ambayo baadaye ilikuja kufutwa kama sikosei na umri uliojitambulisha nao ni miaka 27.
Kama utakuwa umesahau thread yenyewe ilikuwa ikieleza namna ambavyo hata mama yako anakushangaa kwa jinsi usivyokuwa na hisia juu ya wadada hadi kuulizwa ni lini utaoa. Jina la thread lilikua na maneno kama haya "Hivi nitaoa lini"

NB:
Matibabu na ushauri wa kitabibu huzingatia umri

Mi Ni kjana miaka 25.kila mara baada ya mwezi,niendapo haja ndogo huwa nahc kama nina kichocho kwani mkojo huuma sana na najisikia vibaya mara tu baada ya kumalza kukojoa,nmekwenda maabara kupima magonjwa ya zinaa,naonekana sina ugonjwa wowote wa zinaa.Naomba mnisaidie hivi inawezekana mtu kusumbuliwa na kichocho katika umri huo?na kama ndio nifanye nini ili niondokane na tatizo hilo?
 
Naomba Unifafanulie!kvp Kujichua Huweza Kusababsha?kwa Sababu....zo ni dalili kubwa kabisa za magonjwa ya zinaa. pengine ulikuwa unajichua ukajisababishia misuli kutanuka eeeeee??[/QUOTE]
 
Ile ni thread ambayo iliandkwa na rafki yangu!naye alitaman sana kushauriwa kuhusu tatizo lake coz hajajiunga jf aliamua ku2mia lap yangu,so nae mumshaur 2.thanx na umri uliojitambulisha nao ni miaka 27.

Kama utakuwa umesahau thread yenyewe ilikuwa ikieleza namna ambavyo hata mama yako anakushangaa kwa jinsi usivyokuwa na hisia juu ya wadada hadi kuulizwa ni lini utaoa. Jina la thread lilikua na maneno kama haya "Hivi nitaoa lini"

NB:
Matibabu na ushauri wa kitabibu huzingatia umri
 
mkuu sidhani kama umepima sawa sawa kwani hizo ni dalili kubwa kabisa za magonjwa ya zinaa. pengine ulikuwa unajichua ukajisababishia misuli kutanuka eeeeee??

Mkuu na mimi nina tatzo kama la jamaa mkojo wa mwisho unauma sana na nimepima magonjwa ya zinaa sikuwa nayo.Ila kuhusu mambo ya kupga punyeto nilishaacha.Hebu nipe elimu ukipga punyeto misuli inatanuka au inasinyaa? Matibabu ni nin?

Asante!
 
Back
Top Bottom