Nina tatizo la hamu ya ngono mara kwa mara. Je, ni ugonjwa?

Nina tatizo la hamu ya ngono mara kwa mara. Je, ni ugonjwa?

Status
Not open for further replies.
Je, hii hali huletwa na nini na dawa yake ni nini? Ni nguvu za giza au ni hali ya kawaida tu kwa mwanamke yoyote? Au ni sababu ya vyakula nnavyotumia?

Ushauri please

Mkuu Malila,

Ni kweli vyakula navyo huchochea hamu ya tendo la ndoa. Ni vyakula gani? Vifahamu kupitia uzi huu > Vyakula vinavyoongeza hamu ya tendo la ndoa kwa haraka kwa mwanamke

Hata hivyo kuna madhara ya kushiriki tendo la ndoa mara kwa mara. Madhara yake yaliwahi kuelezwa kwa kina hapa > Madhara ya kufanya mapenzi mara kwa mara

Asante.
 
Mbaya kama unaonjwa na nyomi. Ham ikizd sana nenda hospital pengine fungus...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaongea kiutu uzima jaman ila mtu ukisikia kukulwa we kulwa tuu kwani unalipia vat
Kwanza starehe. Kama anaonjwa na wengi ndo sio vizuri sababu ya afya ila kama anaonjwa na mmoja aendelee kuonjwa tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom