Nina tatizo la hamu ya ngono mara kwa mara. Je, ni ugonjwa?

Nina tatizo la hamu ya ngono mara kwa mara. Je, ni ugonjwa?

Status
Not open for further replies.
Asee basi hongera sana, mwili wako utakua unanguvu za kuhimili vichocheo vya hii kitu
Heheheee. Mbona mi nakunywa sisikii kitu. Walisemaga na savanna pia zina vichocheo ila mpaka naacha kunywa savana sijawahi kuchochewa kuonjwa. Au nina hisia za mbali eeh. Ila nikinywa na beb karibu hata chupa mbili tu za bia hamu za kuonjwa zinakuja kama mafuriko
 
Kama wewe unaonjwa onjwa ni sawa tu, ila kama una onjwa onjwa kwa kupitiliza, kiasi kwamba wewe unafikiria kuonjwa tu, ukiamka unataka kuonjwa, ukilala unafikiria kuonjwa, huli hulali unafikiria kuonjwa tu, inabidi ujichue ili upate nafuu, yaani akikosekana wa kukuonja basi huna raha, unakuwa mdhaifu au mwenye hasira basi kizungu watamuita mdada kama huyu ni Nyphomaniac: A woman who has abnormally excessive and uncontrollable sexual desire.
Lakini kama unaonjwa kwa staha na raha, we endelea tu ila usifanye ngono zembe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom