Kama wewe unaonjwa onjwa ni sawa tu, ila kama una onjwa onjwa kwa kupitiliza, kiasi kwamba wewe unafikiria kuonjwa tu, ukiamka unataka kuonjwa, ukilala unafikiria kuonjwa, huli hulali unafikiria kuonjwa tu, inabidi ujichue ili upate nafuu, yaani akikosekana wa kukuonja basi huna raha, unakuwa mdhaifu au mwenye hasira basi kizungu watamuita mdada kama huyu ni Nyphomaniac: A woman who has abnormally excessive and uncontrollable sexual desire.
Lakini kama unaonjwa kwa staha na raha, we endelea tu ila usifanye ngono zembe.