Nina tatizo la kuhisi kiu ya maji kila baada ya dk 10-20

Snipes

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2013
Posts
9,165
Reaction score
16,791
Habari...


Nina tatizo la kuhisi kiu ya maji kila baada ya dk 10-20 kwa wiki mbili sasa.

kwa siku nakunywa maji lita mbili na nusu mpaka tatu, kiufupi najitahidi sana kunywa maji hata kama sina kiu ila sijajua hili tatizo linatokeaga wapi.

kama nimeeleweka vizuri naomba msaada.
 
Mungu atusaidie tyyu kuna magonjwa mengi sana yanatumaliza wanadamu
 
Kapime kisukari maana hiyo ni dalili mojawapo
 
Kacheki Diabete ( kisukari)

Pia jitathmini Kwa kuangalia rangi yako ya Mkojo
 
Kacheki Diabete ( kisukari)

Pia jitathmini Kwa kuangalia rangi yako ya Mkojo
mkojo wa kawaida tu ni ule wenye rangi ya maji si wa njano au tofauti na hapo

asante kwa ushauri
 
Kiu ni njia ya mwili kukufahamisha kuwa una upungufu wa maji mwilini. Kutokana na maelezo yako tatizo lako ni la kisaikolojia zaidi.
hebu nipe ushauri sasa

unajua jana nimesoma hapo halafu sijapata jibu sahihi mpaka sasa
 
Archduke nimewahi kuwa na tatizo lako na linajirudia mara kwa mara.

1. Antidiuretic Hormone Issues
Jitahidi uache kunywa maji nusu saa pale kiu inapokuja.

2. Kidney Issues
Kama unapata maumivu chini ya mbavu kuelekea mgongoni kapime figo.
 
Unakaribia kuzimu
 
Unakaribia kuzimu
Kua serious bas s kila kitu cha kuleta mzaha mzaha tu kama unaona huna cha kuchangia ungenyamaza tu ndugu yangu, wewe ni nani had umtabirie mwenzio kuzim
 
Kua serious bas s kila kitu cha kuleta mzaha mzaha tu kama unaona huna cha kuchangia ungenyamaza tu ndugu yangu, wewe ni nani had umtabirie mwenzio kuzim
sio kila mtu wa kumjibu beb sawa ehh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…