Nina tatizo la kuhisi kiu ya maji kila baada ya dk 10-20

Nina tatizo la kuhisi kiu ya maji kila baada ya dk 10-20

Kama unasikia kiu mara kwa mara na unaenda haja ndogo mara kwa mara pia... kacheki kisukari...

Cc: mahondaw
 
Umri wako?

Je licha ya kiu..Je unachoka sana? Hamu ya kula ikoje?

Kuna historia ya kisukari katika ukoo wenu?

Huenda una chango la uzazi.
 
Two possibilities.Diabetes Mellitus or Diabetes Insipidus.It might as well be pyschogenic polydipsia.
 
Back
Top Bottom