Nina tatizo la kukojoa kila baada ya dk 3 nikinywa pombe

Nina tatizo la kukojoa kila baada ya dk 3 nikinywa pombe

Hakuna shida mkuu, wasikutishe hao wanywa fanta orange.

255742811157_status_9daf13644a5c460d94731af61b09041e.jpg
 
Miaka 24 unapiga chupa 20?

Sio case. Naamini umeugua ghono recently ingawa ushapona ila effect yake ndio inakuaga ivo kwa muda.

Cha kufanya tafuta week mbili kunywa maji kama kichaa. Yaan kwa siku piga ata lita 3-5 kwa muda wa week 2.
 
Bado sijaona jibu la kitaalamu😅😅😅😅mleta mada kuwa mvimilivu wataalamu wanakuja
 
Back
Top Bottom