Nina tatizo la kukojoa kila baada ya dk 3 nikinywa pombe

Nina tatizo la kukojoa kila baada ya dk 3 nikinywa pombe

Habar wakuu,

Niakianza kunywa pombe Kwa chupa moja tuh nakojoa kwenda chooni mara mbili nikinywa bia kuanzia 20 hapo ntakuwa nimeenda chooni mara kibao, mpaka naona aibu

Hii ni shida gani wakati mara ya kwanza sikuwa nayo ?
Kunywa polepole usibugie, beer ni diuretic inapunguza maji mwilini haraka
 
Habar wakuu,

Niakianza kunywa pombe Kwa chupa moja tuh nakojoa kwenda chooni mara mbili nikinywa bia kuanzia 20 hapo ntakuwa nimeenda chooni mara kibao, mpaka naona aibu

Hii ni shida gani wakati mara ya kwanza sikuwa nayo ?
Brother hyo ni 100% sukari
 
Habari wakuu,

Nikianza kunywa pombe Kwa chupa moja tuh nakojoa kwenda chooni mara mbili nikinywa bia kuanzia 20 hapo ntakuwa nimeenda chooni mara kibao, mpaka naona aibu.

Hii ni shida gani wakati mara ya kwanza sikuwa nayo?

Pombe ni kinywaji chenye sifa ya diuretic/huimiza figo kutoa maji kwa wingi kama ilivyo kahawa nk.

Utoaji wa maji baada ya kunywa kinywaji husika hutegemea pia:
1: Kiasi cha maji yaliyopo mwilini.
2: Uzima wa figo
3: Uwezo wa receptors kupokea taarifa na kuzifanyia kazi.
 
Utakuwa na mimba za majini ya chini ya bahari [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
HABAR WAKUU

Asanten wqkuu Leo naona hali iko vzr nipo kama zamani
 
Back
Top Bottom