Insidious
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 654
- 895
Kunywa polepole usibugie, beer ni diuretic inapunguza maji mwilini harakaHabar wakuu,
Niakianza kunywa pombe Kwa chupa moja tuh nakojoa kwenda chooni mara mbili nikinywa bia kuanzia 20 hapo ntakuwa nimeenda chooni mara kibao, mpaka naona aibu
Hii ni shida gani wakati mara ya kwanza sikuwa nayo ?