Nina tatizo la kukojoa kila baada ya dk 3 nikinywa pombe

Miaka 24 unapiga chupa 20?

Sio case. Naamini umeugua ghono recently ingawa ushapona ila effect yake ndio inakuaga ivo kwa muda.

Cha kufanya tafuta week mbili kunywa maji kama kichaa. Yaan kwa siku piga ata lita 3-5 kwa muda wa week 2.
 
Bado sijaona jibu la kitaalamu😅😅😅😅mleta mada kuwa mvimilivu wataalamu wanakuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…