king pierre
Member
- May 30, 2016
- 82
- 28
Habari wakuu!
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 sasa na kuhusu ukidume na urijali wangu sina shaka kabisa... Ila nina tatizo la kulia(machozi kunitoka) bila sababu ya msini, hali hii hutokea hasa nikiwa naangalia/nasikilza waimbaji wanaoimba nyimbo za hisia mahala popote pale..
Kwa mfano, hivi sasa nnavyoandika post hii nilikuwa naangali kikund icha watoto wa halaik kwenye tv wanavoimba wmbo wa taifa na Tanzania Tanzania kule Simiyu kwenye maadhimisho ya kuzima Mwenge.. Nikaona machoz yananitoka kwa kasi sana...
Sasa hali hii kwa kwel inaniboa sana na wakat mwngne kuniaibisha nikiwa mbele za watu.. Hadi nimefkia hatua ya kuogopa kuhudhuria matukio kama ya graduation/haruc mbalimbali kwasababu kule huwa kuna nyimbo za kuagana zenye hisia kali(sikosagi kutoa machoz)...
Naomba mwenye kujua suluhu ya tatzo hili anisaidie tafadhali.