Nina tatizo la kulia lia bila sababu ya msingi

king pierre

Member
Joined
May 30, 2016
Posts
82
Reaction score
28
Habari wakuu!

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 sasa na kuhusu ukidume na urijali wangu sina shaka kabisa... Ila nina tatizo la kulia(machozi kunitoka) bila sababu ya msini, hali hii hutokea hasa nikiwa naangalia/nasikilza waimbaji wanaoimba nyimbo za hisia mahala popote pale..

Kwa mfano, hivi sasa nnavyoandika post hii nilikuwa naangali kikund icha watoto wa halaik kwenye tv wanavoimba wmbo wa taifa na Tanzania Tanzania kule Simiyu kwenye maadhimisho ya kuzima Mwenge.. Nikaona machoz yananitoka kwa kasi sana...

Sasa hali hii kwa kwel inaniboa sana na wakat mwngne kuniaibisha nikiwa mbele za watu.. Hadi nimefkia hatua ya kuogopa kuhudhuria matukio kama ya graduation/haruc mbalimbali kwasababu kule huwa kuna nyimbo za kuagana zenye hisia kali(sikosagi kutoa machoz)...

Naomba mwenye kujua suluhu ya tatzo hili anisaidie tafadhali.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Mkuu kama huma msaada n vema ungepta kmy2...sio ustaarabu kuingiza masihara sehemu isiyohusika...kama tiba ya hilo tatzo inahtaj kujua kabila hiyo siihitaji.
Mkuu unadhani ni masihara? Nimekuuliza kwa kuwa najua kabila moja lina hiyo hali ya simanzi.
 
Hio hali ni ya kawaida kabisa mkuu, wala usijihisi vibaya. Mimi pia nina hali hiyo. Hio hali ni nzuri sana ktk kumwabudia Mungu. Kabla sijaokoka (kumkabidhi Yesu maisha ili Bwana na Mwokozi wangu) nilihisi kama sii hali nzuri, ila baada ya kuokoka nimetambua kuwa hali hiyo ni ya ki-Mungu. Mungu ameweka kitu kikubwa sana ndani ya moyo wako!!! Kitu hicho kitadhihirika pindi utakapoamua kumkabidhi Yesu maisha yako. (Nakutakia kila la kheri)
 
hivi kuokoka ni nini?
 
  • Thanks
Reactions: MC7
hivi kuokoka ni nini?
Ni kumkabidhi Yesu maisha yako. Ni kuzaliwa mara ya pili. Ni kuwa mtoto wa Mungu. Ni jina lako kufutwa katika kitabu cha hukumu na kuandikwa katika kitabu cha uzima. Ni kupewa uwezo wa kuishinda dhambi (kumbuka Hatuwezi kushinda dhambi kwa nguvu zetu wenyewe) na kupewa uwezo wa kumshinda adui ibilisi shetani na vibaraka wake!!!! ...
 
unamkabidhi vipi yesu maisha? unazaliwaje mara ya pili? unafutwaje katika kitabu cha hukumu? unawezaje kuishinda dhambi? na ibilisi na vibaraka wake? na hayo yote umeyapata wapi hayo maagizo?
 
Inawezekana sana. Na yote hayo yamewekwa wazi sana ktk Neno lake Mungu, yaani Maandiko Matakatifu (Biblia).
 
hyo amri Mungu aliitoa wapi maana najua Mungu aliweka amri zake na maagizo yake kupitia manabiiwake Musa na wengineo wengi tu .ila uliyoniambia sijawai yaona kwa kusoma kwangu ila biblia kubwa naomba uniambie nipasome fasta
 
Ilo ni tatizo la kawaida, inategemea na hisia za mtu. Mtu anaweza akawa jambazi na izo tabia akawa nazo
 
Hio hali ni ya kawaida kabisa mkuu, wala usijihisi vibaya. Mimi pia nina hali hiyo. Hio hali ni nzuri sana ktk kumwabudia Mungu. Kabla sijaokoka (kumkabidhi Yesu maisha ili Bwana na Mwokozi wangu) nilihisi kama sii hali nzuri, ila baada ya kuokoka nimetambua kuwa hali hiyo ni ya ki-Mungu. Mungu ameweka kitu kikubwa sana ndani ya moyo wako!!! Kitu hicho kitadhihirika pindi utakapoamua kumkabidhi Yesu maisha yako. (Nakutakia kila la kheri)
We jamaa kihio kweli,sasa uhusiano wa kulia na kuokoka uko kivipi hapo?watu wamekua vichaa sana,mtu akiuliza kitu ataambiwa kuokoka,hii yote ni ugumu wa maisha,watu wanajaribu kutengeneza mazingira ya sadaka.
 
Hahahaaa mimi naamini katika mungu, lakini mdau kaboa sana, anaanza kudanganya hadhira yote hii..
 
Ni kumkabidhi Yesu maisha yako. Ni kuzaliwa mara ya pili. Ni kuwa mtoto wa Mungu. Ni jina lako kufutwa katika kitabu cha hukumu na kuandikwa katika kitabu cha uzima. Ni kupewa uwezo wa kuishinda dhambi (kumbuka Hatuwezi kushinda dhambi kwa nguvu zetu wenyewe) na kupewa uwezo wa kumshinda adui ibilisi shetani na vibaraka wake!!!! ...
We mchungaji kutokwa na machozi ni sababu ya kua na dhambi?mbona dunia imevamiwa namna hii?
 
Hiyo inaweza kuwa emotions ziko zako ziko karibu ( watu wengine ziko mbali yaana hawahisi kitu ) na pengine kwa unapoona au kusikia kitu Fulani kinacho kugusa kirahisi. Hii inaweza kuwa tatizo unapukuwa mbele ya watu au kazini. Hali ikizidi jaribu kuonana psychologist hospitalini.
 
Nashukuru mkuu
 
Back
Top Bottom