Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Sawa jaribu kugoogle huenda ukapata tips za kukusaidia. Kwani wanawake wenyewe wanasemaje ukichelewa kumwaga?Natamani iwe ivo
Kapime kiwango cha sukari, hio Ni dalili ya kisukariHuu ni mtihani mkuu
Sitaweza
Wenzako wanaomba wawe na bahati kama yako wewe unaikimbia!Ni miezi takribani mitatu sifiki kileleni
Nimekutana na baadhi ya wanawake kwa kipindi hiki chote lakini bado
Ni hali ambayo inanisumbua ni heri uwahi kufika kileleni kuliko hili linalonipata
Mwenye msaada au tiba nitagharimia kwa atakayeweza nasumbuka mno