Nina tatizo la kutofika kileleni

Nina tatizo la kutofika kileleni

Ni miezi takribani mitatu sifiki kileleni
Nimekutana na baadhi ya wanawake kwa kipindi hiki chote lakini bado
Ni hali ambayo inanisumbua ni heri uwahi kufika kileleni kuliko hili linalonipata
Mwenye msaada au tiba nitagharimia kwa atakayeweza nasumbuka mno
Wenzako wanaomba wawe na bahati kama yako wewe unaikimbia!
Ama kweli Dunia ina mambo.
 
Back
Top Bottom