Nina tatizo la kutofika kileleni

Nina tatizo la kutofika kileleni

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Ni miezi takribani mitatu sifiki kileleni
Nimekutana na baadhi ya wanawake kwa kipindi hiki chote lakini bado
Ni hali ambayo inanisumbua ni heri uwahi kufika kileleni kuliko hili linalonipata
Mwenye msaada au tiba nitagharimia kwa atakayeweza nasumbuka mno
 
Endelea na hio punyeto, tu,we kileleni unataka ufike kufanyaje na huna mbegu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Ni miezi takribani mitatu sifiki kileleni
Nimekutana na baadhi ya wanawake kwa kipindi hiki chote lakini bado
Ni hali ambayo inanisumbua ni heri uwahi kufika kileleni kuliko hili linalonipata
Mwenye msaada au tiba nitagharimia kwa atakayeweza nasumbuka mno

"Baadhi" - wangapi Kaka?
 
Mirija itakuwa imeziba au korodani + tezi dume hazifanyi kazi sawasawa. Vinginevyo mwalimu wako wa Marketing ni gwiji hasa na alikupika vyema ukaiva [emoji16]
Msaada wa tiba
Tatizo hili linanisumbua
 
Back
Top Bottom