Nina tatizo la kutofika kileleni

Nina tatizo la kutofika kileleni

Pole sana Mkuu.

Naomba kujua, wewe ni mlevi kupindukia?

Je, siku za hivi karibuni kuna dawa zozote unazotumia? Hata za tatizo lingine?

Kuna jambo lolote linakuletea msongo wa mawazo?

Kabla ya hapo ulikuwa unatumia muda gani kumwaga?
 
mimi tangu nizaliwe sijawahi kusikia mwanaume anasema hajafika kileleni, huyu jamaa ni wa kwanza. hata baada ya kumstua kwamba anazingua amezidisha matusi tu na hajabadili hata kauli. hivi ninyi mnamuelewa? kileleni wanafika wanawake tu, wanaume tunakojoa. hilo ni papai a.k.a punga.
 
Niliposoma heading ya thd nikajua thd imeanzishwa na Binti,

Dunia inaenda kwa kasi sana aisee.
 
Ingawa watu wanasema ni tangazo lakini tatizo lako lipo na kitaalamu linaitwa D.E yaani delayed ejaculation,

Chanzo wala tiba bado havijulikani ingawa yapo baadhi ya mambo huaminika yanachangia.
 
Ukichoka penga hata makamasi,
Vinginevyo lipia Tangazo usiwadanganye dada zetu,ukawala kimasihara
 
Ingawa watu wanasema ni tangazo lakini tatizo lako lipo na kitaalamu linaitwa D.E yaani delayed ejaculation,

Chanzo wala tiba bado havijulikani ingawa yapo baadhi ya mambo huaminika yanachangia.
ni kweli mkuu me mwenyewe kunakipindi hii hali nilishawahi kuwa nayo , apo ndio nmetoka somasoma yani ugumu mwingi sina stori na she wa aina yeyote ni me na nyeto tu genye zikinishika na porn kwa sana na mpaka apo tayali nilikua na kama 20 of age simjui dem , na first day nakula dem ofcoz alikua na uzuri wa kawaida ila sasa pussy ilikua na kishombo icho sio poa ..broo nilizidi kuwachukulia poa hawa watu , ila sasa kimbembe kilianzia nilipoanza chuo ndio kuja kua na dem , asee nilikua kila ninavyopiga ganzi kwa sana yani sifeel kama watu wanavyoongelea hawa warembo ..mpaka kuja kukaa sawa nakuenjoy sex ni pale nilipompata dem mwenye code ambazo me nazielewa sana (kipotabo na kishundu kwa mbali) , ndio nikaanza kumwaga na kufeel huo utam ila before nilichokua naenjoy ni ile feeling kuona unamuazibu mtoto mzuli na ingia toka za dick ndio ilikua furah yangu ila sio kumwaga
 
Pole sana Mkuu.

Naomba kujua, wewe ni mlevi kupindukia?

Je, siku za hivi karibuni kuna dawa zozote unazotumia? Hata za tatizo lingine?

Kuna jambo lolote linakuletea msongo wa mawazo?

Kabla ya hapo ulikuwa unatumia muda gani kumwaga?
Nitajibu kwa sababu mm pia nina changamoto hyo

-my answer to all questions is NO
-Lakn nshawahi piga punyeto kwa miaka mi3
-huu ni mwaka wa 4 tangu niache punyeto
-kabla ya tatzo kuanza ni hv:; tangu nmebalehe nlikuwa sjawahi kusex. Nlipofikisha miaka 19 nikaanza kujichua mpaka nilipofikisha miaka 22,, kufika miaka 22 nkapata mchumba ,,,nka experience hili tatzo tangu kwa mchumba wa kwanza mpaka leo!!!
 
Bro wanaopiga puli haswa vijana wasio na matatizo wengi wanapitia hilo tatizo la late ejaculation. Hivo sasa, ukifanya mapenzi enjoy, usiwaze maswala ya mkono muwaze mpenzi wako. Do it with passion enjoy the moment utamwaga tu.
Angalizo usije kuongea mbele za watu mtoto wa kiume kwamba hufiki kileleni, utajafir***a
 
ni kweli mkuu me mwenyewe kunakipindi hii hali nilishawahi kuwa nayo , apo ndio nmetoka somasoma yani ugumu mwingi sina stori na she wa aina yeyote ni me na nyeto tu genye zikinishika na porn kwa sana na mpaka apo tayali nilikua na kama 20 of age simjui dem , na first day nakula dem ofcoz alikua na uzuri wa kawaida ila sasa pussy ilikua na kishombo icho sio poa ..broo nilizidi kuwachukulia poa hawa watu , ila sasa kimbembe kilianzia nilipoanza chuo ndio kuja kua na dem , asee nilikua kila ninavyopiga ganzi kwa sana yani sifeel kama watu wanavyoongelea hawa warembo ..mpaka kuja kukaa sawa nakuenjoy sex ni pale nilipompata dem mwenye code ambazo me nazielewa sana (kipotabo na kishundu kwa mbali) , ndio nikaanza kumwaga na kufeel huo utam ila before nilichokua naenjoy ni ile feeling kuona unamuazibu mtoto mzuli na ingia toka za dick ndio ilikua furah yangu ila sio kumwaga
Uko sahihi kabisa mkuu, niliwahi ku experience pia, ndo kutafuta tafuta nikajua kumbe hiyo shida ipo ingawa ni very rare almost 8% ya wanaume wote ndo maana watu humu wamesema ni tangazo.
 
Back
Top Bottom