Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Miss natafuta kila nikiina ID yako huwa najiuliza kama hiyo avatar ni wewe,yani umekaa kimiss bantu hadi raha kwa kweli,nikiona picha hyo fikira zinakwenda mbali sanaohooo kitumbua kishaingia mchanga ni shida
Hahaaa bora umeuliza?!mara ya mwisho umechepuka na nani?
Tengeneza juisi ya Matikiti,Asali na tangawizi kunywa gilasi 3 mpaka Lita 1 kwa siku kwa wiki moja leta mrejesho baada ya wiki.Habari zenu
Mimi ni kijana ambaye nimeowa lakini Kwa kipindi cha miezi miwili sasa nimepatwa na tatizo la uume wangu kuwa dhaifu yaani hausimami vizuri kama kipindi cha nyuma. Inafika Kipindi hata kufanya mapenzi nashindwa kabisa
Na kinachoniumiza zaidi ni kuwa na mke ndani na nimejitahidi kumficha tatizo nililonalo lakini sasa nimeshindwa
Naombeni ushauri.
Asanteni
Tatizo lako linahusu msukumo wa damu kama hauna ugomvi au haujamchoka mkeo. Fanya mazoezi yakadio kwa wiki 1 tu kwakuanzia then fanya nae kifuatacho utaamua mwenyewe kuendelea namazoezi hayo au lah.Habari zenu
Mimi ni kijana ambaye nimeowa lakini Kwa kipindi cha miezi miwili sasa nimepatwa na tatizo la uume wangu kuwa dhaifu yaani hausimami vizuri kama kipindi cha nyuma. Inafika Kipindi hata kufanya mapenzi nashindwa kabisa
Na kinachoniumiza zaidi ni kuwa na mke ndani na nimejitahidi kumficha tatizo nililonalo lakini sasa nimeshindwa
Naombeni ushauri.
Asanteni
Jamaa ana tatizo la msukumo wa damu tu, au lah watakuwa hawako namaelewano poa na anayeshiriki nae tendo. Kisukari kukipata sio swala jepec kama ilivyo kupata HIV/AIDS...mAWAZO LUKUKI PIA HUCHANGIA,anatakiwa ajaribu kwanza mechi yakirafiki ajipime,kma tatzo halijakwisha anatakiwa afanye mazoezi yakadio ili msukumo wadamu uwe poa na pia apate endurance pindi awapo anafanya makonyenga.Pole sana!!!
Usimfiche wife... Ataanza kukufikiria vingine.
Nenda kapime afya kwanza!!! Kisukari na presha vina tabia ya kuathiri nguvu
Dah.....we jamaaa.....bwia matikiti maji naskia yanaongeza nguvu, nchi imekua ngumu mpaka uume umezira
Gombo limebashitikaohooo kitumbua kishaingia mchanga ni shida
Hajimalizi anapona mubasharaMhh, mkuu unataka ajimalize kabsaa[emoji87]
Kwa ushauri wangu nenda kaonane na daktari anehusika na sehemu za uzazi na kueleza tatizo ,naamin utapatiwa matibabu na ushauri pia...usipuuzie ni tatzo kubwa,mke asije kukukimbiaHabari zenu
Mimi ni kijana ambaye nimeowa lakini Kwa kipindi cha miezi miwili sasa nimepatwa na tatizo la uume wangu kuwa dhaifu yaani hausimami vizuri kama kipindi cha nyuma. Inafika Kipindi hata kufanya mapenzi nashindwa kabisa
Na kinachoniumiza zaidi ni kuwa na mke ndani na nimejitahidi kumficha tatizo nililonalo lakini sasa nimeshindwa
Naombeni ushauri.
Asanteni
Picha ya uume[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]