Nina tatizo la kuwa na Uume legelege

Nina tatizo la kuwa na Uume legelege

Habari zenu

Mimi ni kijana ambaye nimeowa lakini Kwa kipindi cha miezi miwili sasa nimepatwa na tatizo la uume wangu kuwa dhaifu yaani hausimami vizuri kama kipindi cha nyuma. Inafika Kipindi hata kufanya mapenzi nashindwa kabisa

Na kinachoniumiza zaidi ni kuwa na mke ndani na nimejitahidi kumficha tatizo nililonalo lakini sasa nimeshindwa

Naombeni ushauri.

Asanteni
Tengeneza juisi ya Matikiti,Asali na tangawizi kunywa gilasi 3 mpaka Lita 1 kwa siku kwa wiki moja leta mrejesho baada ya wiki.
 
kaka nakushauri kula ndizi mbivu angalau kwa siku mara 5 na tikiti maji husaidia tende na maziwa usikose then lete marejesho kama siku tatu
 
Vp ushawai kutumia Dawa za kuongeza nguvu za kiume maana inaeza ikawa 7bu kama ulikuwa unatumia
 
Kama hauna matatizo na mkeo kiasi kwamba hauna hamu yakufanya nae tendo la ndoa then unachotakiwa fanya ni kufanya mazoezi ya kadio kwa 1 week non stop then utaleta mrejesho. Amini nikuambiayo ukiwa tayari nicheki nikuelekeze ni swala doogo sana linalohusu msukumo wa damu.
 
Habari zenu

Mimi ni kijana ambaye nimeowa lakini Kwa kipindi cha miezi miwili sasa nimepatwa na tatizo la uume wangu kuwa dhaifu yaani hausimami vizuri kama kipindi cha nyuma. Inafika Kipindi hata kufanya mapenzi nashindwa kabisa

Na kinachoniumiza zaidi ni kuwa na mke ndani na nimejitahidi kumficha tatizo nililonalo lakini sasa nimeshindwa

Naombeni ushauri.

Asanteni
Tatizo lako linahusu msukumo wa damu kama hauna ugomvi au haujamchoka mkeo. Fanya mazoezi yakadio kwa wiki 1 tu kwakuanzia then fanya nae kifuatacho utaamua mwenyewe kuendelea namazoezi hayo au lah.
 
Namba inasomwa....haya matatizo ya uume yameongezeka sana awamu hii
 
Pole sana!!!
Usimfiche wife... Ataanza kukufikiria vingine.

Nenda kapime afya kwanza!!! Kisukari na presha vina tabia ya kuathiri nguvu
Jamaa ana tatizo la msukumo wa damu tu, au lah watakuwa hawako namaelewano poa na anayeshiriki nae tendo. Kisukari kukipata sio swala jepec kama ilivyo kupata HIV/AIDS...mAWAZO LUKUKI PIA HUCHANGIA,anatakiwa ajaribu kwanza mechi yakirafiki ajipime,kma tatzo halijakwisha anatakiwa afanye mazoezi yakadio ili msukumo wadamu uwe poa na pia apate endurance pindi awapo anafanya makonyenga.
 
Mkuu tafuna kila siku usiku punje moja au mbili vitunguu thoum. Mabadiliko utayaona
 
Habari zenu

Mimi ni kijana ambaye nimeowa lakini Kwa kipindi cha miezi miwili sasa nimepatwa na tatizo la uume wangu kuwa dhaifu yaani hausimami vizuri kama kipindi cha nyuma. Inafika Kipindi hata kufanya mapenzi nashindwa kabisa

Na kinachoniumiza zaidi ni kuwa na mke ndani na nimejitahidi kumficha tatizo nililonalo lakini sasa nimeshindwa

Naombeni ushauri.

Asanteni
Kwa ushauri wangu nenda kaonane na daktari anehusika na sehemu za uzazi na kueleza tatizo ,naamin utapatiwa matibabu na ushauri pia...usipuuzie ni tatzo kubwa,mke asije kukukimbia
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Picha ya uume[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Back
Top Bottom