Nina tatizo la kuwa na Uume legelege

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji24]
Hii huletwa na mambo mengi. ea vyakula unavyo kula sigara na kikubwa zaidi kuliko yote ni frustration za maisha lakini mwone daktari kwa ushauri zaidi. Usije kujaribu dawa za kimasai maana namfahamu mtu alitumia siku 4 haikulala akataka kufa
 
Kura karanga mihongo michuzi ya pweza asari supu ya maharangwe kira SKU kabla ya tendo
 
Pole sana kiongozi utapona tu, usijali
 
Pole sana,Fanya mazoezi. Pia kula matunda mengi kama matikikiti,ndizi,parachichi n.k ,usisahau tende,karanga mbichi,tangawizi,mlonge
 
Suluhisho la muda mfupi ni wewe kutafuna mbegu za maboga au weka unga wake kwenye uji, Chai, zinapatikana madukani sokoni. Tengeneza juice ya tende changanya na maziwa fresh pamoja na hubbart soda, kama huwezi tengeneza pita magomeni mapipa pale jirani na msikiti nunua.

Juice ya tikiti, komamanga chemsha weka kwenye friji ipoe piga glass 1 asubuhi, moja jioni. Suluhisho la kudumu ni wewe kwenda hospitali na usione aibu kwani hilo ni tatizo la kawaida tu na hukumba wanaume wengi. Usitumie viagra kwa sababu side effects zake sio, mafua, kichwa kuuma, macho kuwa mekundu, mapigo ya moyo kuwa juu nk. Kila la heri
 
unatibika hiyo wengi nimewatibu kwa elfu 20 tu 0712505049
 
Nimemwelewa themagnifient kikubwa ni mabadiliko ya tabia ya nchi na dunia watu kupenda kula vyakula vya mafuta fanya mazoezi na ule chukuchuku kwa wingi utakuwa poa na upunguze mawazo
 

USHAURI MZURI KULIKO YOTE NI KWENDA HOSPITALINI. KAMA WAONA AIBU NENDA HATA MKOA MWINGINE, TAFUTA HOSPITAL KUBWA NENDA. ITAKUWA RAHISI WAO KUELEWA SHIDA YAKO KULIKOA HAPA, HAPA PANA WATAALAM ILA PENGINE KUNA VIPIMO AU MAELEZO ZAIDI.
 
Hapo Kasongo/Bunga/Mutembe ndo umuhimu wake unapokuja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…