Nina tatizo la kuwaambukiza wanawake UTI

Nina tatizo la kuwaambukiza wanawake UTI

Faru Juma

Member
Joined
Mar 11, 2018
Posts
31
Reaction score
25
Habari zenu wadau, sinaga maneno naenda kwa point moja kwa moja.
Mimi mwenzenu kuna jambo linaniumiza kichwa nashindwa kuelewa, nimepitia katika mahusiano na wanawake wengi (30+) shida ni kuwa kila dem niliepita nae ilikua lazma augue UTI katika hatua ya mwanzo ya mahusiano.

Nikimpeleka hospital anakutwa na maambukizi, mimi sikutwi nayo. Akipewa tiba tukirud haipiti hata wiki mbili lazima ugonjwa umrudie tena.

Naombeni msaada wa mawazo kwa wale wenye uelewa juu ya hili janga pia kwa wahanga wenzangu ushuhuda unahusika.

Nawasilisha
 
Kwamba unawaambukiza afu we ukutwi nao wenyewe wanakutwa nao [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji41]
tapatalk_1545128381808.jpeg
 
Kama wewe huumwi achana nao. Maumbile yetu yanatofautiana na wao. Angalia wanatumia vyoo vya aina gani (usafi ukoje) usafi wao wenyewe ukoje kwenye suala la nguo za ndani n.k.
Nahitaji suluhisho ili wasiumwe tena
 
Kama wewe huumwi achana nao. Maumbile yetu yanatofautiana na wao. Angalia wanatumia vyoo vya aina gani (usafi ukoje) usafi wao wenyewe ukoje kwenye suala la nguo za ndani n.k.
Asante mkuu
 
Mwanaume kupata UTI ni kazi sana kwa sababu ya maumbile yake yalivyo tofauti na mwanamke.
 
Back
Top Bottom