Nina tatizo la Social Anxiety Disorder

Nina tatizo la Social Anxiety Disorder

A cure for social anxiety disorders​

Social phobia is the most common anxiety disorder of our time. But the current treatment regimen for patients with this diagnosis has not proven very effective. Now a team of Norwegian and British researchers believe they have found a cure for social anxiety disorders...
Very long but for me have the same hope to benefit too kindly make it short even put contact you don't mind for further details

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
pole mkuu ila zingatia tu uliyoambiwa naamini utakaa sawa
 
Unapaswa upate Psychotherapy.

Kwa Arusha nilisikia maeneo ya Ngulelo kuna daktari amespecialise kwenye hiyo area na huwa anatoa hiyo huduma, kuna watu huwa wanatoka mjini na kumfuata ila sijui ofisi yake iko wapi.

Once nikijua nitakujuza, ila km mwenyeji wa Arusha basi ulizia ulizia.
 
Mahusiano kwangu hayaeleweki unaweza kuta nampenda mwanamke leo baada ya sikuu kazaa simpendi tena Kwasababu ya kufiria vitu vya ajabu ambapo kimsimgi hayana maana kabisa.

Muda mwingi najifungia ndani natoka usiku tu na nimarachache sana kwasababu hata mtu akiniangalia nahisi ananifikiria vibaya au kunisema vibaya siwezi kukaa kwenye makundi ya watu kupiga story yani najikuta napoteza amani kabisa, nikitembea mchana najihisi kama nawindwa na kila mtu hii hali naichukia kwakweli nateseka sana mkuu. Ushauri pia waweza nisaidia
Mkuu,fanya ibada...jikubali
 
Nawasalimu wana JF wote,

Nielekee moja kwa moja kwenye mada mimi nimekuwa nikisumbuliwa kwa muda mrefu na, "social anxiety disorder" na " loss of appetite" niwaombe msaada wenu Kwa hilo, medications pia na ushauri kwasababu vyote vimekuwa vikinisumbua sana.

Asanteni
Pole sana mkuu hili jambo linawasumbua watu wengi sana kwenye jamii,naamini humu Kuna wataalam,wasikiae kimya hii issue ni ngumu yahitaji msaada wa kisaikolojia zaidi,wale wa taalamu wa saikolojia pitieni hapa tafadhaliiiii sanaaa.
 
Mkuu asante sana, siku hizi nakomaa kukaa na watu hata kama nitakosa amani
 
Mkuu hili tatizo linakufanya uishi kama swala porini.
 
Mkuu asante sana, siku hizi nakomaa kukaa na watu hata kama nitakosa amani
Kuna rais mmoja Nigeria aliwahi kudeclare kuwa siku ya kwanza kuongea kwenye kadmnasi ilikuwa darasani anaanza BTP. Alishindwa kuongea kabisa. Kuna mwanasiasa mashuhuri aliulizwa eti mzee hiyo fimbo yako inahusishwa ndio uchawi wako. Akajibu ,hii fimbo ni kifaa kinachonisaidia niweze kuongea vizuri mbele za watu , kwa sababu niko nervous. Hitimisho ni kuwa ni wachache sana wanaweza kuongea mbele ya kadmnasi naturally. Walio wengi tunahitaji practice na maandalizi. Jifanye kujichanganya na watu bila kuwaza woga wako. Uwe msomaji wa mambo mengi utakuwa a good public speaker. Ebu angalia Obama na umaarufu wake siku anaapa urais alirudia kwa kusita huwezi amini Obama kushindwa kuapa katiba sawa na yule aliyenyimwa cheo na JPM kwa kushindwa kuapa. Wengine ndio maana hawa pulic figures huwa wanashitua kapombe kidogo kufuta nervousness ila simu shauri hilo . Kumbuka waingereza wana msemo practice makes perfect. Jiamini , hiyo ni shida ya wengi. Born Orators ni wachache mno , wengi ni kumlazimisha hadi wanaweza.
 
Mkuu nakomaa kila day nijichanganye na mm nichangie mada
 
Mahusiano kwangu hayaeleweki unaweza kuta nampenda mwanamke leo baada ya sikuu kazaa simpendi tena Kwasababu ya kufiria vitu vya ajabu ambapo kimsimgi hayana maana kabisa.

Muda mwingi najifungia ndani natoka usiku tu na nimarachache sana kwasababu hata mtu akiniangalia nahisi ananifikiria vibaya au kunisema vibaya siwezi kukaa kwenye makundi ya watu kupiga story yani najikuta napoteza amani kabisa, nikitembea mchana najihisi kama nawindwa na kila mtu hii hali naichukia kwakweli nateseka sana mkuu. Ushauri pia waweza nisaidia
Pole ndugu sasa nimejua kwann unajiita vampire.
 
Back
Top Bottom