kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Ndugu zangu naomba msaada
Mimi nina tatizo ambalo Lina ni sumbuwa Saana siku izi sijui Nini chanzo hasa
Yaani nafanya ni kila tumbo ina jaa saana chakula mpaka inafika kipindi naona kama vile cha kula kinapanda mpaka kwenye kifuwa ndo Sakia kama vile tumbo imebanana Na kifuwa ivi.
Yaani Na sikia maumivu Kweli Kweli
Au nikinwa Maji Na hisi Maji yame jaa tumboni Ila nikilalia mgongo tumboni Na sikia mgurumo na ile tumbo kujaa ina pungua kidogo kidogo au nikitembea vile vya kula Na sikia kama vimepunguwa Na tumbo inapungua.
Yaani siku hizi hata nikila tonge moja la ugali tumbo linajaa
Pili Nafanya mazoezi kila ninavyozidi kufanya mazoezi tumbo ndo inazidi kuwa kubwa ila nikiacha tena ndo hisi imepungua.
Ndo nataka kuhuliza ivi kupenda kukaa Chini Saana au kitandani kunaweza mletea mtu matatizo aya?
Maana juzi juzi APA Mwili wangu ulikuwa unaregea Sana yaani kiasi cha kufikiri kuwa sina mwili tena.
Nilitumia dawa sikupona ila nilivyotoka nyumbani kuzunguka mitaani nikapona