Nina tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

saidjamali

Member
Joined
Dec 3, 2016
Posts
66
Reaction score
22
Za saizi wadau

Kiukweli kwa muda sasa usiopungua miezi sita nimekuwa na tatizo la nguvu za kiume. Yaani naposhiriki tendo bao la kwanza ni chap tu nimemaliza afu inachukua muda kama dk 20 ndo isimame tena.

Na sio kawaida yangu msaada jamani pengine ni kawaida au Nina tatizo
 
Na baada ya hizo dkk 20 ikishasimama unapiga game kwa mda gani tena.
 
Mmmh
Utakuwa na ugonjwa wa Upungufu wa Salio ATM (USA).
Ugojwa huu husababishwa na mdororo wa uchumi nchini kutoka na sera ya kubana matumizi inayosambazwa na kirusi kijukanacho kwa jina Jana Pombe Mlikunywa, (JPM).
 
Huna tatizo la nguvu za kiume ila Punguza mawazo

Unajua wale waganga wa tiba mbadala walilikuza hili tatizo ila kiuhalisia halipo ila wamewaweka wanaume hofu tu.

Haya matatizo uwapata wanaume wenye umri mkubwa, wagonjwa either wa kisukari, moyo, tezi dume au presha
NB Kama uchumi ni mdogo pia unaweza kukumbwa na tatizo kwa muda tu kutokana na stress za maisha
 

yaani uchumi ukiyumba unayumbisha mpaka kule ?
 
Wewe jamaa ni umri unakutupa mkono..... hiyobhali ya kawaida sana.... hakikisha bao la pili unasugua masaa4
 
tumia mhogo
 
Mkuu;
Huo ndo ukweli. Nitapandaje juu yake huku sijui akiniomba soda ntampa nini?? Nikiwa na msimbazi moja napiga goli hat 4

hhahahahahahahhahahahha sawa bwana kumbe performance inaamuliwa na financial stability
 
Mmmh
Utakuwa na ugonjwa wa Upungufu wa Salio ATM (USA).
Ugojwa huu husababishwa na mdororo wa uchumi nchini kutoka na sera ya kubana matumizi inayosambazwa na kirusi kijukanacho kwa jina Jana Pombe Mlikunywa, (JPM).
Hiyo Avatar sasa
Dafu na ndimu
 
Wewe unapiga halafu unasubiri dk 20unapiga tena. Usimkufuru Mungu. Uliza wanaokaa wiki au mbili hawajapiga.
 
Yaa stop nyeto! piga zoezi kula balance diet
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…