Nina tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

saidjamali

Member
Joined
Dec 3, 2016
Posts
66
Reaction score
22
Za saizi wadau

Kiukweli kwa muda sasa usiopungua miezi sita nimekuwa na tatizo la nguvu za kiume. Yaani naposhiriki tendo bao la kwanza ni chap tu nimemaliza afu inachukua muda kama dk 20 ndo isimame tena.

Na sio kawaida yangu msaada jamani pengine ni kawaida au Nina tatizo
 
Na baada ya hizo dkk 20 ikishasimama unapiga game kwa mda gani tena.
 
Za saizi wadau
Kiukweli kwa muda sasa usiopungua miezi sita nimekuwa na tatizo la nguvu za kiume. Yaani naposhiriki tendo bao la kwanza ni chap tu nimemaliza afu inachukua muda kama dk 20 ndo isimame tena. Na sio kawaida yangu msaada jamani pengine ni kawaida au Nina tatizo
Mmmh
Utakuwa na ugonjwa wa Upungufu wa Salio ATM (USA).
Ugojwa huu husababishwa na mdororo wa uchumi nchini kutoka na sera ya kubana matumizi inayosambazwa na kirusi kijukanacho kwa jina Jana Pombe Mlikunywa, (JPM).
 
Huna tatizo la nguvu za kiume ila Punguza mawazo

Unajua wale waganga wa tiba mbadala walilikuza hili tatizo ila kiuhalisia halipo ila wamewaweka wanaume hofu tu.

Haya matatizo uwapata wanaume wenye umri mkubwa, wagonjwa either wa kisukari, moyo, tezi dume au presha
NB Kama uchumi ni mdogo pia unaweza kukumbwa na tatizo kwa muda tu kutokana na stress za maisha
 
yaani uchumi ukiyumba unayumbisha mpaka kule ?
 
Wewe jamaa ni umri unakutupa mkono..... hiyobhali ya kawaida sana.... hakikisha bao la pili unasugua masaa4
 
Za saizi wadau
Kiukweli kwa muda sasa usiopungua miezi sita nimekuwa na tatizo la nguvu za kiume. Yaani naposhiriki tendo bao la kwanza ni chap tu nimemaliza afu inachukua muda kama dk 20 ndo isimame tena. Na sio kawaida yangu msaada jamani pengine ni kawaida au Nina tatizo
tumia mhogo
 
Mmmh
Utakuwa na ugonjwa wa Upungufu wa Salio ATM (USA).
Ugojwa huu husababishwa na mdororo wa uchumi nchini kutoka na sera ya kubana matumizi inayosambazwa na kirusi kijukanacho kwa jina Jana Pombe Mlikunywa, (JPM).
Hiyo Avatar sasa
Dafu na ndimu
 
Yaa stop nyeto! piga zoezi kula balance diet
 
Back
Top Bottom