Nina tatizo la usafiri toka Moshi kwenda Dodoma

Nina tatizo la usafiri toka Moshi kwenda Dodoma

BabaPrince

Senior Member
Joined
Jan 10, 2016
Posts
126
Reaction score
47
Nawasalimu wana jamii wenzangu.

Nina tatizo la usafiri toka Moshi kwenda Dodoma. Kwa yeyote mwenye connection ya either Lori au gari yeyote ya kusafirisha mizigo ya nyumbani kama sofa, fridge vitanda nk. tafadhali nijulishe. Au ushauri wa njia bora mbadala ya kuhamisha mizigo pia nakaribisha ushauri.

Natanguliza shukrani
 
Baba Prince,
Jaribu kuwasiliana na huyu mtu, zungumza naye akusaidie..!

+255 718 072 707,
+255 744 302 922..
 
Back
Top Bottom