Nina tattoo makalioni, mume wangu kuniambia nitafute mwanaume mwingine

Nilikuwa pia nina imagine mwanamke aliyechora tattoo hadi sehemu za siri na akapata kazi serikalini labda alihonga ngono ...
 
Nilikuwa pia nina imagine mwanamke aliyechora tattoo hadi sehemu za siri na akapata kazi serikalini labda alihonga ngono ...
Lazma na mm na imagine mtu anachorwa tattoo hapo mwanaume ashamla kwanza ndo ana mchora ,na inaonekana alkua anawala wote hao malaya chuo Kwa wakat mmoja, na kama huyu jamaa ndo tabia zake amewala wangap ? Yaan unaweza tapika ujue? Ndo maana washkaji wakiwaza wanaona kichefu chefu
 
Kosa ulilofanya hukumwambia kuwa Una tattoo..Ila madhali sasa umesema Karibu DM yangu uwe mke wapili Insha'Allah utaenjoyπŸ“Œ
 
Kama bado upo Mwanza naomba unicheki nikushirikishe jambo kama itafaa utafwata huo ushauri kuna binti mmoja nae ni muajiriwa wa serikali hapahapa Mza nae alikua na scenario kama hiyo niliweza kumsaidia kwa sasa ana amani so if u dnt mind ni PM
 
Sema uyo nice guy aliebaniwa mzigo mpaka ndoa ni fala sana, ndio maana kila siku nawasisitiza vijana humu ndani kwa hiki kizazi cha wanawake wa kisasa msikubali kuwa nice guys kwenye mahusiano.

Hivi dunia ilivyoalibika unaoaje bila kutest mitambo, tena mwanamke ambae hauna historia yake.

Kila siku nawaambia vijana ukifika wakati unajiona unahitaji kuoa, mchumbie binti mdogo, bikira wa kumchukua moja kwa moja kutoka kwa wazazi wake na kuja kwako. Huyu bado hajaalibika kiakili na kimwili na chaos za kwenye dating pool.
 
Nimekumbuka misemo ya wahenga "" MAJUTO NI MJUKUU""

Tatizo hayo matatuu kwa mwanaume alie kua anakupenda kwa dhati akiyaona atapata hisia jinsi ulivyo kua unapelekewa moto RUTHLESSNESS inauma mwanaume kajitunza anakuja kuuziwa mbuzi kwenye gunia..

Mimi kusema UKWELI sijawai msamehe mwanamke msaliti upendo hugeuka gafla na kua HATE na hata hatuwezi kurudianaa

Kikubwa tafuta wanaume take easy au tafuta ki marioo ukifuge hiko utaweza kukihudumia na kukishape utakavyo..Ila kwa wanaume ma GENTLEMAN watakukimbia

NB.
Mwanaume usikubali kuuziwa mbuzi kwenye gunia..
 
Mi ni nimeshakuelewa haya tufunge ndoa sasa
 
Pole sana kwanza muombe Mwenyezi Mungu msamaha na usirudie tena huo ujinga. Kama una hela mbona hayo yanatoka ila gharama yake kubwa, nenda ulaya huko wanaweza kuzifuta.
Mwenyezi Mungu anasamehe dhambi zote, na sisi sote tuna makosa tusilaumu jamani
 
Amini kitu kimoja dada, wapo watakaopagawa na wewe kwa hio hio tatoo, Njoo Dar es Salaam au Zanzbar mwanza washamba wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…