Nina tattoo makalioni, mume wangu kuniambia nitafute mwanaume mwingine

Nina tattoo makalioni, mume wangu kuniambia nitafute mwanaume mwingine
Duuh,
Mwana kulitafuta mwana kulipata..

Kwani hakuna namna ya kufuta hizo tattoo?
Umejaribu kuonana na 'plastic surgeon' kwa ushauri?

Kwa kweli bila kuondoa hizo vitu utakuwa na option moja tu ya uhakika: kurudiana na yule mchoraji tattoo wako, mvutaji bange.
Kwa wengine utaishia kutumika tu..
Pole sana!
 
Mkuu mbona siku hizi zinafutwa kwa teknolojia ya laser. Andaa kibunda ukafute
 
Nitafute nizifute zote
 
Acha ujinga na kashfa. Unamuumiza mwenzio. Kawa muwazi nini chanzo cha hizo tatoo. Tujitahidi kuheshimu wengine na kuheshimu hisia zao mkuu.
Wewe kuweza kudinya mwanamke mwenye tatoo za makalio zilizochorwa picha ya mb@@
 
Kuta za uke kwani Huwa mnafanya Nini? massage mbaka kwenye k
 
Nenda kwa aliekuchora hiyo tatoo kwenye taacall
 
Hakuna mwenye tattoo inayoonekana anapata kazi serikalini acha uongo. Serikali haiajiri wahuni
 
Kama una kalio kubwa hakuna shida hao majamaa unaokutana nao ndio wenye shida ✌🏻 Ila kama una vikalio vidogo HAPANA kwa kweli utaangaika sana
 
Piga chini huyo njoo kwangu na matatoo yako, hapa ni mapenzi tuu, njoo pm tuyajenge
 
FUNZO: UKIAMUA KUFANYA JAMBO FIKIRIA KUHUSU KESHO
 
Nicheki PM achana na maneno ya watu. Mie Nina tatu mwili mzima kama ex wako..
 
Sawa tumekuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…