Nina Tsh. milioni 16, nataka kununua Hiace nifanye biashara ya daladala

Nakushauri kuwa uachane na biashara ya Hiace. Utakuja kujuta. Hiyo hela wekeza hata kwenye kiwanja au uiweke Benki kwenye akaunti ya fixed deposit. Ukinunua Hiace umewanunulia wafanyakazi wa kuisimamia ili wafaidike.
Naona unashahuri kuizika pesa yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini mkuu niachane nayo nipe sababu
Nakushauri kuwa uachane na biashara ya Hiace. Utakuja kujuta. Hiyo hela wekeza hata kwenye kiwanja au uiweke Benki kwenye akaunti ya fixed deposit. Ukinunua Hiace umewanunulia wafanyakazi wa kuisimamia ili wafaidike.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau kichwa cha habari kinajieleza.

Naomba kujua wapi napata gari, faida na changamoto. Gari itakuwa mkoani
Hongera boss kwa mtazamo huo chanya....
Ila naomba fikiria huu msemo wa WARREN BUFFET alisema "Be fearful when others are greedy and be greedy when others are fearful" huyu ni baba wa biashara uwekezaji duniani....
Liangalie kwa jicho la tatu hilo wazo lako
tathimin lini utaanza kupata faida ya kile ulichowekeza hapo...na risk zake zipi...na je namna ipi ya kupunguza hizo risk.?

Maana risk huwez kukwepa kwenye biashara yoyote....sema huwa tunazipunguza tu...kwamba hata risk ikitokea iwe kidogo...yaan himilivu.

Zaidi sana if you are opened mind enough... Njoo pm tujadili biashara ya kufanya pamoja...as joint Company. Uhakika wa faida ya 10% kupata kila mwezi kwa huo mtaji upo.ni mikakati na mipango tu...

Fikiria 10% faida ya mill16 kila mwezi na mtaji wetu unabaki salama. Wewe unakuwa msimamizi Mkuu wa mahesabu ya biashara...faida kila mwezi tunagawana au itategemea na makubaliano yetu.

Sheria na taratibu zote zitafatwe kufikia makubaliano ya pamoja.ili kila mtu ajiridhishe.
Karibu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau kichwa cha habari kinajieleza.

Naomba kujua wapi napata gari, faida na changamoto. Gari itakuwa mkoani

=====
Chuku hii Nissan Caravan hutojuta.

Nissan Caravan
Year 2002
CC 2380
Fuel: Petrol
Automatic gear
Seat cover mpya na nzuri nzuri.
Haina tatizo lolote
Location: Mbeya, Tunduma.
Bei: 12.5M
Piga/Whatsap: 0719972458
Instagram @magari_aina_zote

 
10 ipo
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Usithubutu kujifanya unajiunga na huyu mtu
 
Achana na mawazo ya kununua gari kwaele hiyo utajiongezea umaskini, labda ununue hiyo hice mpya mill 32 ndio utaona elayako inarudi ukinunua kwa mtu umekwisha.

Otherwise nunua bajaji 2 zitakutoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na wewe 100% gari ya mkononi ni changamoto kubwa na unaishia kujuta kuiweka hela yako hapo
 
Gari za mkononi uwe makini Sana mkuu.
Nunua compressor ya kudrill miamba migodini ya piston 3. Nenda sehemu zenye migodi. Unakodisha kwa siku laki 2 Hadi 3. Ndani ya mwaka mmoja na nusu hela yako imerudi. Hiyo chombo ina kazi nyingi.
Kwa mfano ulio hai. Mimi ninayo na maisha yanaenda.
Ukihitaji maelezo zaidi Ni pm
 
Gar za mkononi nying vimeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…