ThugMaster
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 1,594
- 2,234
Mkuu kalirejesha pesa yako?Pia inabidii awe na hela ya kuweka viti,vibali na tairi mpya za kuanzia.Nilinunua kama hako miaka miwili iliyopita
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kalirejesha pesa yako?Pia inabidii awe na hela ya kuweka viti,vibali na tairi mpya za kuanzia.Nilinunua kama hako miaka miwili iliyopita
Kalirejesha na faida, nilivuliwa kwa bei ya juu baada ya kufanyia kazi miezi mitanoMkuu kalirejesha pesa yako?
Naona unashahuri kuizika pesa yakeNakushauri kuwa uachane na biashara ya Hiace. Utakuja kujuta. Hiyo hela wekeza hata kwenye kiwanja au uiweke Benki kwenye akaunti ya fixed deposit. Ukinunua Hiace umewanunulia wafanyakazi wa kuisimamia ili wafaidike.
Nakushauri kuwa uachane na biashara ya Hiace. Utakuja kujuta. Hiyo hela wekeza hata kwenye kiwanja au uiweke Benki kwenye akaunti ya fixed deposit. Ukinunua Hiace umewanunulia wafanyakazi wa kuisimamia ili wafaidike.
Hongera boss kwa mtazamo huo chanya....Wadau kichwa cha habari kinajieleza.
Naomba kujua wapi napata gari, faida na changamoto. Gari itakuwa mkoani
Chuku hii Nissan Caravan hutojuta.Wadau kichwa cha habari kinajieleza.
Naomba kujua wapi napata gari, faida na changamoto. Gari itakuwa mkoani
=====
Chuku hii Nissan Caravan hutojuta.
Nissan Caravan
Year 2002
CC 2380
Fuel: Petrol
Automatic gear
Seat cover mpya na nzuri nzuri.
Haina tatizo lolote
Location: Mbeya, Tunduma.
Bei: 12.5M
Piga/Whatsap: 0719972458
Instagram @magari_aina_zote
View attachment 1432692View attachment 1432694View attachment 1432695View attachment 1432696View attachment 1432697View attachment 1432698View attachment 1432699View attachment 1432700View attachment 1432701
Hongera boss kwa mtazamo huo chanya....
Ila naomba fikiria huu msemo wa WARREN BUFFET alisema "Be fearful when others are greedy and be greedy when others are fearful" huyu ni baba wa biashara uwekezaji duniani....
Liangalie kwa jicho la tatu hilo wazo lako
tathimin lini utaanza kupata faida ya kile ulichowekeza hapo...na risk zake zipi...na je namna ipi ya kupunguza hizo risk.?
Maana risk huwez kukwepa kwenye biashara yoyote....sema huwa tunazipunguza tu...kwamba hata risk ikitokea iwe kidogo...yaan himilivu.
Zaidi sana if you are opened mind enough... Njoo pm tujadili biashara ya kufanya pamoja...as joint Company. Uhakika wa faida ya 10% kupata kila mwezi kwa huo mtaji upo.ni mikakati na mipango tu...
Fikiria 10% faida ya mill16 kila mwezi na mtaji wetu unabaki salama. Wewe unakuwa msimamizi Mkuu wa mahesabu ya biashara...faida kila mwezi tunagawana au itategemea na makubaliano yetu.
Sheria na taratibu zote zitafatwe kufikia makubaliano ya pamoja.ili kila mtu ajiridhishe.
Karibu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na wewe 100% gari ya mkononi ni changamoto kubwa na unaishia kujuta kuiweka hela yako hapoAchana na mawazo ya kununua gari kwaele hiyo utajiongezea umaskini, labda ununue hiyo hice mpya mill 32 ndio utaona elayako inarudi ukinunua kwa mtu umekwisha.
Otherwise nunua bajaji 2 zitakutoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Gar za mkononi nying vimeoGari za mkononi uwe makini Sana mkuu.
Nunua compressor ya kudrill miamba migodini ya piston 3. Nenda sehemu zenye migodi. Unakodisha kwa siku laki 2 Hadi 3. Ndani ya mwaka mmoja na nusu hela yako imerudi. Hiyo chombo ina kazi nyingi.
Kwa mfano ulio hai. Mimi ninayo na maisha yanaenda.
Ukihitaji maelezo zaidi Ni pm