Nina Tshs 150,000/= nifanye kitu gani ili niizalishe?

Nina Tshs 150,000/= nifanye kitu gani ili niizalishe?

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
757
Habari yenu,Nina pesa tajwa hapo juu nifanye biashara gani kuiendeleza?
 
Nunua ubuyu wa kwenye kopo tafuta meza ya kishkaji iweke stendi ya basi aghlabu kama uko Dar baada ya hapo Anza kuhesabu faida irudishe kwenye mtaji ndo kukua kwenyewe
 
Fukuafukua kule Jukwaa La Biashara ;Kuna mawe Ya Maana...ungesema Unataraji Kuwekeza Sehem Gan Hiyo Hela Ili Tushauri Kutokana Na Mazingira
Kama Unaweza Kachague Mitumba Ya Watoto..Uanze Kutembeza Mitaani!
Ahsante Jigo
 
umeipata wapi hiyo 150000?kuwa na hela bila kujua chanzo chake ni vigumu kupanga matumizi yake,kwa mfano:

Kama umeokota na wakati huo wewe unakitu kingine cha kufanya basi matumizi ya hiyo hela yaweza kuwa tofauti na mtu aliyeokota wakati yeye anaishi na familia.

Lakini kinachonitia shaka ni je hii ni mara yako ya kwanza kwa ww kupata hiyo hela?kama hapana ulizopata ulifanyia nini?

Ukija na majibu ya maswali haya nitakueleza ufanyie nini ili uzalishe,vipo vingi sana dogo vya kufanya achana na wahuni wanao kukatisha tamaa wengi wao ndo wanatumi fedha za umma na kushinda humu JF kupost visivyo na mana

Moderator for your information
 
Mkuu mbona hiyo hela ni ndogo sana kwa biashara!! Anyway wewe unatamani kufanya nini? Biashara lazima iwemo moyoni mwako. Angalia fursa zilizopo kwenye jamii inayokuzunguka. Ni kitu gani bado hakijajitosheleza kwa watu?
Habari yenu,Nina pesa tajwa hapo juu nifanye biashara gani kuiendeleza?
 
tafuta mke uoe kwanza unaonyesha una NGUNGA kama MFUNGWA ndio maana hata uwezo wako wa kufikiria umerudi chini
 
Changia jf waqe wanakutumia mishemishe
 
Habari yenu,Nina pesa tajwa hapo juu nifanye biashara gani kuiendeleza?


Mkuu kama upo karibu na soko la uhakika nenda wekeza kwenye kilimo cha mboga mboga na matunda. Baada ya miaka 2 utakuwa na kipato kikubwa.
 
Ifanye naul nenda kijijin ukawasalime wazaz mnunulie na babu na bb sukar ...usisahau kubakiza naul ya kurud
 
Back
Top Bottom