umeipata wapi hiyo 150000?kuwa na hela bila kujua chanzo chake ni vigumu kupanga matumizi yake,kwa mfano:
Kama umeokota na wakati huo wewe unakitu kingine cha kufanya basi matumizi ya hiyo hela yaweza kuwa tofauti na mtu aliyeokota wakati yeye anaishi na familia.
Lakini kinachonitia shaka ni je hii ni mara yako ya kwanza kwa ww kupata hiyo hela?kama hapana ulizopata ulifanyia nini?
Ukija na majibu ya maswali haya nitakueleza ufanyie nini ili uzalishe,vipo vingi sana dogo vya kufanya achana na wahuni wanao kukatisha tamaa wengi wao ndo wanatumi fedha za umma na kushinda humu JF kupost visivyo na mana
Moderator for your information