GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kuwa pusha ..nunua bange uza utatoka sasa hivi
Habari yenu,Nina pesa tajwa hapo juu nifanye biashara gani kuiendeleza?
Usikatishwe tamaa na hizi kejeli za humu jf, hao matajili hawakuanza na milioni kama wewe kuna walio anzia chini ya hiyo ela uliyo nayo na wakafanikiwa, tatizo tulio wengi tunataka mafanikio ya mda mfupi na tunataka kuanzia juu, ukianzia chini unapanda juu ndo biashara yako itadumu mda mrefu.ukiamua kuwa mjasiliamali mambo ya statas weka pembeni,statas itajileta yenyewe kadri unavopata
mafanikio
Kopesha kwa riba
Habari yenu,Nina pesa tajwa hapo juu nifanye biashara gani kuiendeleza?