Nina uhakika 100% kama Simba ingeshiriki CAFCL kwa kikosi hiki isingeweza kufuzu hatua ya makundi

MwananchiOG

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2023
Posts
2,507
Reaction score
4,943
Kuna wakati inabidi mashabiki wa Simba wawe na shukrani, Maana kama hiki ndicho kikosi chao cha kwanza, na aina hii ya uchezaji, basi nina uhakika 100% wasingeweza kufuzu hatua ya makundi katika mashindano ya Mabingwa wa bara la Afrika.

Wanapaswa kuoshukuru sana Azam na kushukuru kudondokea katika mashindano ya watoto.
 
Mshahamisha mada sasa mazuzu ya utopolo
 
Ndugu yangu we tulia wataumbuka msimu ujao si watashiriki klabu bingwa tutaona kama wataingia ata hatua ya makundi na icho kikosi chao cha kusubilia mafuta ya mwamposa
 
Mechi zote za simba za viporo, usishangae kuona zote zinachezeshwa na mwamuzi mmoja tu wa kati; Tatu Malogo!! Na lazima atqshinda zote chini ya huyo mwamuzi.

Waamuzi ambao wamepigwa marufuku kuchezesha mechi za simba ni Ahmed Arajiga, Ramadhan Kayoko, nk.
 
basi na VAR itatumika.
 
Wazee wa mechi 5 point 1,hamchoki tu kufikiria zaidi timu yenu.Tulicheze na ibenge na kupata sare,wewe je?
 
Wewe mwenye kikosi bora uliishia wapi?
 
Bado hamjasema mbwa nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…