Nina uhakika 100% kama Simba ingeshiriki CAFCL kwa kikosi hiki isingeweza kufuzu hatua ya makundi

Nina uhakika 100% kama Simba ingeshiriki CAFCL kwa kikosi hiki isingeweza kufuzu hatua ya makundi

Kuna wakati inabidi mashabiki wa Simba wawe na shukrani, Maana kama hiki ndicho kikosi chao cha kwanza, na aina hii ya uchezaji, basi nina uhakika 100% wasingeweza kufuzu hatua ya makundi katika mashindano ya Mabingwa wa bara la Afrika.

Wanapaswa kuoshukuru sana Azam na kushukuru kudondokea katika mashindano ya watoto.
Mtaongea yote, waliokuwa wanasemekana kuwa na timu bora nikimaanisha Yanga, wamefikia wapi!
 
Kisa wewe hujafuzu unafikiri kila mtu ni mzembe kama wewe? Simba huko champions league imevuka zaidi ya mara tano hatua hiyo ya makundi muda mwengine ikiwa na vikosi vibovu mfano kikosi cha kina Jobe na Fredy.
Simba inaweza kuwa na uzembe ila sio wa kuishia hatua ya makundu hizo ni shida zenu ndio maana miaka nenda rudi mna robo fainali moja tu ya klabu bingwa simba anazo 4 ndani ya miaka 7
 
Back
Top Bottom