Nina uhakika Al-Jazeera ni mtandao wa kikundi cha kigaidi cha Muslim Brotherhood

Nina uhakika Al-Jazeera ni mtandao wa kikundi cha kigaidi cha Muslim Brotherhood

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Qatar imekuwa ikishirikiana na Muslim Brotherhood kwa miongo kadhaa.

Sheikh Yusuf al-Qaradawi, mwanatheolojia mwenye ushawishi mkubwa na mfuasi wa Muslim Brotherhood, amekuwa na uhusiano wa karibu na Al-Jazeera, akionekana mara kwa mara kwenye vipindi vyao.

Al-Jazeera imekosolewa na nchi kadhaa za Kiarabu kwa kutoa habari zinazoonekana kuunga mkono Muslim Brotherhood, hasa wakati mapinduzi ya Arab Spring.

Baadhi ya wafanyakazi wa Al-Jazeera huko Misri walijiuzulu mwaka 2013 wakidai kuwa walilazimishwa kuunga mkono syndicate ya Muslim Brotherhood.

Pia Wanahabari wa al-jazeera wengi wamegundulika kuungana na vikundi vya kigaidi vinavyoleta machafuko mashariki ya kati.
20250812_094813.jpg
 
50/50 . Watu wana siri lolote linawezekana.

Al-Jazeera imeegemea zaidi Gaza kutoa habari vita vya Gaza Vs Israel.

Kama hamasi wanaweza kujificha hospitali na kutumia magari ya kuleta msaada wa chakula kupitisha silaha za kivita .

Lolote linawezekana. Kwa ufupi Israel imewashindwa Gaza ndo Sababu wapashambulia Gaza bila protocol za kimkakati .

Israeli inapigana na kundi la pipo ambao hawana cha kupoteza, sad!
 
Mkuu unafeli wapi?

Kila media inalinda masilahi mapana ya wanaoifadhili na kuihudumia.

Hujui CNN ni chombo cha taifa gani?

Je, vyombo kama BBC, DW, TBC hujui pia?

Media ni vyombo vya propaganda kwa masilahi ya wanaotarajiwa kunufaika.
 
Back
Top Bottom