Nina uhakika Kikwete, Mpango na Nchemba wasingejiweka wazi wao ni wana Yanga SC tusingefika hapa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,685
Reaction score
128,178
99.9999% ya Kiburi cha Yanga SC na Jeuri ya Yanga SC ni kutokana na Watajwa hapa juu (wenye Ushawishi mkubwa kwa Rais Samia, Serikali na Chama Cha Mapinduzi) kuwa nyuma yao.

GENTAMYCINE nina uhakika kuwa hawa Watajwa Watatu hapa juu wangekuwa Kimya Kiushabiki leo hii tusingefika hapa katika HATUCHEZI na MTACHEZA TU.
 
Ila Genta, acha unazi kdg tudiscuss uhalisia, yanga leo lao ni bodi iseme sababu ya kuhairishwa tar 8 ni nini??maana hata sisi wapenzi wa mpira hatujui ikiwemo ww hujui sababu
 
99.9999% ya Kiburi cha Yanga SC na Jeuri ya Yanga SC ni kutokana na Watajwa hapa juu (wenye Ushawishi mkubwa kwa Rais Samia, Serikali na Chama Cha Mapinduzi) kuwa nyuma yao.

GENTAMYCINE nina uhakika kuwa hawa Watajwa Watatu hapa juu wangekuwa Kimya Kiushabiki leo hii tusingefika hapa katika HATUCHEZI na MTACHEZA TU.
Genta usitake kujifanya hujui karia aliwekwa tff na nani na ndio huyo anayempa kiburi,huyo ndie aliempeleka jela manji,mwesigwa na malinzi,na huyo ndie anaetaka kuisiginya katiba ya tff karia aongoze vipindi 3 tofauti na katiba ya tff inavyotaka kuongoza vipindi viwili
 
Tuseme ukweli, tatizo ni karia, kidau, kasongo na mguto. Kwasababu wao ni mashabiki wa simba basi wanahisi wapo pale kwa ajili ya kuisaidia simba tu na si kusimamia kanuni, sheria na taratibu za soka.
Wangeamua kuweka mapenzi pembeni na kusimia sheria na kanuni za soka tusinge fika huku.
Kwasababu hii kesi mwanzo ilikuwa ni kati ya simba na bodi ya ligi. Lakini cha kushangaza bodi ikaghailisha mechi na kuitoa simba kwenye hii kesi na badala yake kuhamisha kesi na kuwa kati bodi na yanga. Walifanya hivyo makusudi kwasababu walishajua kuwa simba hawezi kushinda ile kesi kisheria na kikanuni.
 
99.9999% ya Kiburi cha Yanga SC na Jeuri ya Yanga SC ni kutokana na Watajwa hapa juu (wenye Ushawishi mkubwa kwa Rais Samia, Serikali na Chama Cha Mapinduzi) kuwa nyuma yao.

GENTAMYCINE nina uhakika kuwa hawa Watajwa Watatu hapa juu wangekuwa Kimya Kiushabiki leo hii tusingefika hapa katika HATUCHEZI na MTACHEZA TU.

Kiburi cha simba kugoma tarehe 7 march kilisababishwa na nani?
 
Mkuu huwa unaheshimika humu ndani kwa tabia yako ya kuzungumza ukweli mchungu. Leo umeteleza kidogo. Sakata hili liko wazi kabisa, nani alikosea kila mtu anajua ukiwemo wewe mwenyewe.
 
Back
Top Bottom