GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Pamoja na mheshimiwa mbunge mohamed dewjiUko sahihi
Na Simba kugomea mchezo tarehe 8 ni kwa nguvu ya Majaliwa ama?
Plus Tulia,Zungu na Mwana FAUko sahihi
Na Simba kugomea mchezo tarehe 8 ni kwa nguvu ya Majaliwa ama?
Huyo papai hana msimamoWewe si ulisema game ipo, na Yanga haina jeuri ya kugomea game
??????????...Uko sahihi
Na Simba kugomea mchezo tarehe 8 ni kwa nguvu ya Majaliwa ama?
Sasa wanalalamika nini kumbe mzani uko sawa..Plus Tulia,Zungu na Mwana FA
Ila Genta, acha unazi kdg tudiscuss uhalisia, yanga leo lao ni bodi iseme sababu ya kuhairishwa tar 8 ni nini??maana hata sisi wapenzi wa mpira hatujui ikiwemo ww hujui sababu99.9999% ya Kiburi cha Yanga SC na Jeuri ya Yanga SC ni kutokana na Watajwa hapa juu (wenye Ushawishi mkubwa kwa Rais Samia, Serikali na Chama Cha Mapinduzi) kuwa nyuma yao.
GENTAMYCINE nina uhakika kuwa hawa Watajwa Watatu hapa juu wangekuwa Kimya Kiushabiki leo hii tusingefika hapa katika HATUCHEZI na MTACHEZA TU.
Genta usitake kujifanya hujui karia aliwekwa tff na nani na ndio huyo anayempa kiburi,huyo ndie aliempeleka jela manji,mwesigwa na malinzi,na huyo ndie anaetaka kuisiginya katiba ya tff karia aongoze vipindi 3 tofauti na katiba ya tff inavyotaka kuongoza vipindi viwili99.9999% ya Kiburi cha Yanga SC na Jeuri ya Yanga SC ni kutokana na Watajwa hapa juu (wenye Ushawishi mkubwa kwa Rais Samia, Serikali na Chama Cha Mapinduzi) kuwa nyuma yao.
GENTAMYCINE nina uhakika kuwa hawa Watajwa Watatu hapa juu wangekuwa Kimya Kiushabiki leo hii tusingefika hapa katika HATUCHEZI na MTACHEZA TU.
Sio majaaliwa tu, kuna tulia, zungu, ndugai, makonda, mwana fa, ndumbalo nkUko sahihi
Na Simba kugomea mchezo tarehe 8 ni kwa nguvu ya Majaliwa ama?
Jamii ya kanyanga twendeTatizo la Jamii yetu, kuna wakati tunatumia sheria na taratibu na kuna wakati tunatumia busara
99.9999% ya Kiburi cha Yanga SC na Jeuri ya Yanga SC ni kutokana na Watajwa hapa juu (wenye Ushawishi mkubwa kwa Rais Samia, Serikali na Chama Cha Mapinduzi) kuwa nyuma yao.
GENTAMYCINE nina uhakika kuwa hawa Watajwa Watatu hapa juu wangekuwa Kimya Kiushabiki leo hii tusingefika hapa katika HATUCHEZI na MTACHEZA TU.