Pakome
JF-Expert Member
- Dec 8, 2024
- 1,651
- 1,129
USA inataka raisi mtulivu kama Biden au Obama kwasababu ya kuepusha Kiburi kinachosababishwa na ukubwa wa mamlaka yake sio wehu kama huyu Kidawa mpenda chokochoko
Nina hakika kuwa Donald Trump ataingiza dunia kwenye vita
Ni raisi mwenye shobo na chokochoko kama Kidawa wa majungu mpenda kufunua vyungu vya sumu
Kesha funua vyungu vya sumu vimo wazi vinatema sumu kila mmoja sasa anakohoa kwasababu ya kupaliwa
Jungu la kwanza alilofunua lilikuwa ARVs
Jungu la pili kutamani ardhi ya Palestine
Jungu la tatu kubwa la kumkamata Maduro
Jungu la nne kushiriki kuua raisi wa Iran
Ili kuinusuru dunia Trump apokonywe uraisi kinyume na hapo dunia ijiandae na vita