Hakuna vita yoyote kubwa itakayotokea kwa kuwa hawezi kushambulia China wala Russia, hizi vita ndogondogo za kuonea madogo kama Iran haziwezi kusabanisha vita kubwa ya kidunia with possibilities of nukes being used. Hivi ni vita vya makombora ya kawaida na drones tu just like Russia vs Ukraine war.Nina hakika kuwa Donald Trump ataingiza dunia kwenye vita
Ni raisi mwenye shobo na chokochoko kama Kidawa wa majungu mpenda kufunua vyungu vya sumu
Kesha funua vyungu vya sumu vimo wazi vinatema sumu kila mmoja sasa anakohoa kwasababu ya kupaliwa
Jungu la kwanza alilofunua lilikuwa ARVs
Jungu la pili kutamani ardhi ya Palestine
Jungu la tatu kubwa la kumkamata Maduro
Jungu la nne kushiriki kuua raisi wa Iran
Ili kuinusuru dunia Trump apokonywe uraisi kinyume na hapo dunia ijiandae na vita
Nina hakika kuwa Donald Trump ataingiza dunia kwenye vita

Wamdhibiti kwasababu katika maisha yake amekuwa raisi wa kutamka habari za vita kila wakati na kuanzisha chokochokoHakuna vita yoyote kubwa itakayotokea kwa kuwa hawezi kushambulia China wala Russia, hizi vita ndogondogo za kuonea madogo kama Iran haziwezi kusabanisha vita kubwa ya kidunia with possibilities of nukes being used. Hivi ni vita vya makombora ya kawaida na drones tu just like Russia vs Ukraine war.
Kosa la USA ni kumpa huyu kichaa madaraka, USA inataka raisi mtulivu kama Biden na Obama sio wehu kama hawaNdivyo Dunia ilivyo Bwashee!
Alafu tangu USA awe Superpower ndio dunia imepata utullivu.
Kabla ya hapo mambo yalikuwa mabaya zaidi
Na kasema baada Iran anaenda Cuba kufanya regime changeUSA inataka raisi mtulivu kama Biden au Obama kwasababu ya kuepusha Kiburi kinachosababishwa na ukubwa wa mamlaka yake sio wehu kama huyu Kidawa mpenda chokochoko
Nina hakika kuwa Donald Trump ataingiza dunia kwenye vita
Ni raisi mwenye shobo na chokochoko kama Kidawa wa majungu mpenda kufunua vyungu vya sumu
Kesha funua vyungu vya sumu vimo wazi vinatema sumu kila mmoja sasa anakohoa kwasababu ya kupaliwa
Jungu la kwanza alilofunua lilikuwa ARVs
Jungu la pili kutamani ardhi ya Palestine
Jungu la tatu kubwa la kumkamata Maduro
Jungu la nne kushiriki kuua raisi wa Iran
Ili kuinusuru dunia Trump apokonywe uraisi kinyume na hapo dunia ijiandae na vita
Ewaaana vigundi vya magaidi na wahamiaji wageni wanaoishi marekani pamoja na trrrorist vikundi vya kigaidi..
Kwa wanaofuatilia habari za ufunuo wa DANIEL wanafahamu hii script ,US inakwenda kuangushwa na US dollar inakwenda kuanguka...RUSSIA+CHINA zinakwenda kuinuka...
na Vita vya tatu vya dunia vinakwenda kuanza kati ya makundi haya makuu manne
1)kundi la kwanza URUSI USSR itaungana na UKRAINE,+ CHINA +KOREA ASIA na North africa
kundi pa pili
2)USA NATO na South africa
3)kundi la tatu ambalo ni dhaifu hakina silaha ambalo litakuwa linajificha na kujihaminna vita vya wenyewe(EAST AFRICA +WEST AFRICA)
4)Kundi la nne ni ISRAEL ambayo haitapigana hii vita vya hermageddon
baada ya hii vita MPINGA KRISTO ataibuka
atakuja na suluhisho la NWO,akisaidina na nabii wa uongo na mnyama,akisaidiana na reptilian manefil nephilim na IA robots
Vita vya magogu mataifa yote yataungana kumshambulia ISRAEL KILA PANDE...
baada ya vita vya 3 vya dunia mataifa yote yataungana kumshambulia ISRAEL KUTOKA KILA PANDE KILA KONA